Naweza kuahirisha kozi chuo ili niombe tena mwakani?

Ndiyo inawezekana... Andika barua ya kuhairisha masomo wasilisha kwa 1. Dean of school 2. Director of undergraduate 3. Loan board (kama una mkopo)
Make sure hizo barua unazifikisha wewe mwenyew kwa ofisi husika, lakini pia watumie kwa email pia na baada ya kuzifikisha ikiwezekana mpigie cm Dean na Director...
By the way kama una shida inayokufanya uhairishe masomo hakikisha ni shida ya maana, isijekuwa ni changamoto ambayo unaweza kuivumilia huku unasoma eg mimba, ada, mahusiano, ugonjwa, kazi (kama unafanyia mkoa husika), family problem... Kwa upande wangu hizi changamoto ukikomaa nazo unasoma chuo hivyo hivyo zitajitatua mbele ya safari...

Otherwise Kila lakheri 👊
 
Andika barua ya kuhairisha masomo wasilisha kwa 1. Dean of school 2. Director of undergraduate 3. Loan board (kama una mkopo)
Make sure hizo barua unazifikisha wewe mwenyew kwa ofisi husika, lakini pia watumie kwa email pia na baada ya kuzifikisha ikiwezekana mpigie cm Dean na Director...
Kila lakheri 👊
🙏🙏na baada ya hapo naweza kuapply mwakani na kozi nyingine
 
Sasa hapo umeleta hoja nyingine mpya ambayo awali hukuisema... Kuhairisha masomo maana yake utakuja kuendelea course unayosoma kwa wakati mwingine, na sio kuja baadae kuomba course mpya tofaut uliyoanza nayo...
Ukiomba course mpya utadahiliwa kama mwanafunz mpya na sio kama mwanafunz aliyehairisha masomo. Hivyo utaanza registration upya na kama una sifa watakuchukua kama huna sifa au competition ni kubwa ktk hiyo course mpya hawatakuchukua...
Labda unijibu haya maswali tujue tunakusaidiaje. Upo mwaka wa ngapi? Course unayosoma sasa inabidi usome miaka mingapi? Ukiwa huru tuambie unataka kusoma course mpya ipi? Na sasa unasoma course ipi?

Kama lengo lako ni kubadiri course nenda ofisi ya Dean au Director jieleze watakupa taratibu za kufuata...
 
Inaee

Mi ni mwaka wa 1 kozi ya bachelor of education in science natake niahilishe ni apply mwaka huu mwezi wa nane nursing
 
Okay hapo sasa huahirishi masomo una badirisha course... Kama lengo lako ni hilo andika barua ya kukitaarifu chuo kwamba unahairisha kusoma education badala yake utasoma nursing kuanzia mwaka(....)...
Itakupasa application zikianza uombe upya hiyo course...
By the way hata wasipokujibu haina shida wew omba upya hiyo nursing...
All the best
 
Asante kwa ufafanuzi wako endelea kwa icoivo shukrani kaka🙏🙏🙏
 
Okay hapo sasa huahirishi masomo una badirisha course... Kama lengo lako ni hilo andika barua ya kukitaarifu chuo kwamba unahairisha kusoma education badala yake utasoma nursing kuanzia mwaka(....)...
Itakupasa application zikianza uombe upya hiyo course...
By the way hata wasipokujibu haina shida wew omba upya hiyo nursing...
All the best
Ila kama ana mkopo alishaanza kupokea kwenye nursing itakuja kuleta mushkeli kidogo kupata upya mkopo maana watakuhesabu umekatisha masomo
 
Hamna, Heslb wana taka ulipe asilimia 25 ya mkopo wako badae ndo uombe tena
 
Hayo yote yanawezekana kimbembe loan board huko.

Hongera kwa kushtuka na kukimbia uticha
 
Back
Top Bottom