yusuph kizee
New Member
- Dec 26, 2020
- 1
- 1
Je Kuna haja ya kuwa mzoefu ktk hiyo biashara au mpaka uwe fundi?Kama yote itaenda kwenye manunuzi ya vitu inatosha kwa kuanzia hata ingekua 1m hata 500k hata 100k
biashara yoyote ili ufanikiwe n lazima uianze kisha mengine yatakuja taratbu kadri unavyoendelea kufanya biashara
hivyo kwa 1.5 m utaanza na kwakua mtaji sio mkubwa utaanza na vitu vidogo vidogo aambavyo havili pesa nyingi
Vifaa vya simu ukanunua charger,usb,earphones,protectors,nk unagusa kidogo kidogo
Umeme ukajikita kwenye Balbu kwanza,nunua energy saver kibao wanauza bei cheap tu
nunua Holder,extension,nk kwa 1.5 yote itaisha lazima ujue Kupoint maana umewaza biashara Kubwa
lakini utaianza kwa kwa udogo ila in 6 month to 1 yr ukiwa na malengo yakutokula faida utakua na Duka lenye mtaji wa zaidi ya 5m to 10m...in yrs ndio staki kusema (komaaa)
Sio lazima uwe fundi,hapa nilipo nawaona mabinti kibao wanaofanya hii biashara, wameweka na uwakala ,wanauza pia na simu cha msingi nikujua majina ya hivyo vifaa tu mengine utajifunza hata you tube,jifunze vitu vidogo vidogo kama kupma umeme,kubadilisha vifaa ndani vikipiga shotiJe Kuna haja ya kuwa mzoefu ktk hiyo biashara au mpaka uwe fundi?
AhsanteS
Sio lazima uwe fundi,hapa nilipo nawaona mabinti kibao wanaofanya hii biashara, wameweka na uwakala ,wanauza pia na simu cha msingi nikujua majina ya hivyo vifaa tu mengine utajifunza hata you tube,jifunze vitu vidogo vidogo kama kupma umeme,kubadilisha vifaa ndani vikipiga shoti
tupe feedback mkuuHello!!
Nina 1.5 milioni nahitaji kuanzisha biashara ya vifaa vya simu na vifaa vya umeme. Je, hii pesa itaweza kumudu kuanzisha biashara hii?
Watalam waje wanifafanulie vizuri
Feedback mpaka leo kimyaaa...tupe feedback mkuu