Naweza kubadili bima ya afya kwa mke?

Naweza kubadili bima ya afya kwa mke?

Sitta juma

Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
44
Reaction score
24
Habar wadau,nauliza iv km umeoa na mke umemweka kwenye bima ya afya,mkaja kuzinguana je unauwezo wa kumtoa na kumweka mke mpya,mwongozo plsee
 
We ndo mwenye maamuzi wa kuingiza na kumchomoa mtu provided anaeingia awe na document za kuprove kuwa ni mke wako
 
Back
Top Bottom