S Sitta juma Member Joined Oct 4, 2016 Posts 44 Reaction score 24 May 10, 2017 #1 Habar wadau,nauliza iv km umeoa na mke umemweka kwenye bima ya afya,mkaja kuzinguana je unauwezo wa kumtoa na kumweka mke mpya,mwongozo plsee
Habar wadau,nauliza iv km umeoa na mke umemweka kwenye bima ya afya,mkaja kuzinguana je unauwezo wa kumtoa na kumweka mke mpya,mwongozo plsee
TheJungleMaster Member Joined Mar 20, 2017 Posts 74 Reaction score 124 May 10, 2017 #2 Mi sijaoa...ngoja waje walio oa labda watasema kitu
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,588 Reaction score 22,752 May 10, 2017 #4 We ndo mwenye maamuzi wa kuingiza na kumchomoa mtu provided anaeingia awe na document za kuprove kuwa ni mke wako
We ndo mwenye maamuzi wa kuingiza na kumchomoa mtu provided anaeingia awe na document za kuprove kuwa ni mke wako