Jiandae kula surp iyo coz eng. Cha mtoto
Mbona unamkatisha tamaa mwenzio? Cha msingi dogo ajitahidi na masomo yake hakuna linalo shindikana!
Jaman m nae in mojawapo Wa wahanga hawa Wa 2nd selection. Nimejikuta nimechagua coz yenye ada kubwa mpaka nahisi kupagawa. sa nam nauliza kwamba nikihama hio coz mkopo watanipatia name he hakuna usumbufu wowote Wa kubadilisha cozYa ukifika chuo unaweza badilisha n kuhusu mkopo,, ata ka utabadilisha utakufwata huko huko uliko even f utahama chuo kbsa,, chuo kingine utachoenda mkopo wako utakufwata...
na mie nimechagua bachelor of
science hortculture sua kwenye
second round selction lakini
sifahamu hii course ipoje na ajira
zake naomba kwa anayefahamu
anishauri niisome au nijaribu kubadili nikifika chuo
please
Nimefanya second round nimeandikiwa PROCESSED SUCCESFULLY YOU HAVE BEEN SELECTED niliomba geoinformatics apo ardhi university, so jaman naweza kubadili nkifika chuoni nikaenda geomatics mana nimesoma PCM na nna B+ C E????? mkopo inakuaje????
afu ingia kwa profile yako. uone hyo geoformstic bado ipo?? maana mi nilifanya nikaandikiwa kama ww, you have been selected bt baada ya mda mchache haipo na mpaka sasa system ya sec round wameifunga.
Nimefanya second round nimeandikiwa PROCESSED SUCCESFULLY YOU HAVE BEEN SELECTED niliomba geoinformatics apo ardhi university, so jaman naweza kubadili nkifika chuoni nikaenda geomatics mana nimesoma PCM na nna B+ C E????? na mkopo inakuaje????
...naomba kujuzwa kuhusu hii coz ya animal science pale sua...siilewi and kuna uwezekano wa kuibadili nkfka chuo?
Si mkatishi bali anatakiwa ajue shule geomatics haiitaji masiala lasiivyo atarudi nyumbani
Ulichaguaje kozi ambayo huijui? kwa kifupi.....naomba kujuzwa kuhusu hii coz ya animal science pale sua...siilewi and kuna uwezekano wa kuibadili nkfka chuo?
Ulichaguaje kozi ambayo huijui? kwa kifupi..
Animal science ni kozi inayodeal na domestic animals!! mara nying hawa watu wanafanya kazi na watu wa vet!! ni koz nzuri kama uko commited ni rahis kujiajiri na kuajiriwa pia!!
Nimefanya second round nimeandikiwa PROCESSED SUCCESFULLY YOU HAVE BEEN SELECTED niliomba geoinformatics apo ardhi university, so jaman naweza kubadili nkifika chuoni nikaenda geomatics mana nimesoma PCM na nna B+ C E????? na mkopo inakuaje????