Naweza kubadili kozi nikifika chuoni?

Habar wanajamvi, mm n mhanga wa second selection na nimejaza kozi ambayo nahis km nimelazimishwa . Je ninawwza kuibadilisha nikifika chuo. Mawazo yako n muhmu hata pumba zinaruhusiwa.
 
Kubadili inawezekana. Lakini inategemea na chuo ulichochaguliwa kwani kila chuo kina taratibu zake kwa mfano UDSM ukitaka kubadili ni lazima uopt course inayoendana na uliyoipata mwanzo kwa mfano kama ni ya sayansi lazima utakayoopt iwe ya science. Nadhani ni rahisi tuu endapo utafuata procedures kijana.
 

Ahsante mkuu
 
Nimefanya second round nimeandikiwa PROCESSED SUCCESFULLY YOU HAVE BEEN SELECTED niliomba geoinformatics apo ardhi university, so jaman naweza kubadili nkifika chuoni nikaenda geomatics mana nimesoma PCM na nna B+ C E????? na mkopo inakuaje????

Kubadili program ni haki yako. Ila kila chuo kimeset procedures za kufuata ili kuweza kukamilisha zoezi hilo. Mfano, kwa udsm unapopewa admission letter inakuwa covered na hizo procedures. Cha msingi uwe unameet criteria za course unayohamia kama vile cut-off point (above minimum) na kama hiyo course ina nafasi (admission capacity haijafika limit)
 

Well said, iinawezekana only if there is a vacant
 
Cjajua kwa vyuo vingne wana utaratibu gani,ila kwa udsm inaruhusiwa ndani ya wiki mbili tangu chuo kufunguliwa.
 
habar wanajamvi, mm n mhanga wa second selection na nimejaza kozi ambayo nahis km nimelazimishwa . Je ninawwza kuibadilisha nikifika chuo. Mawazo yako n muhmu hata pumba zinaruhusiwa.

uhahis km umelazimishwa??kwa hyo huna uhakika kama unahis.je unahis nan kakulazimisha???
 
sio kweli m nimeandika barua ya kuhama kozi na hii ni wiki ya 2 majibu bado?? eti huwa yanatoka wiki ya ngapi mkuu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…