Naweza kuendelea nilipo ishia kwenye kwenye ufuatiliaji wa passport ta kusafiria

Naweza kuendelea nilipo ishia kwenye kwenye ufuatiliaji wa passport ta kusafiria

Dear_me_

Member
Joined
Dec 31, 2022
Posts
36
Reaction score
79
Habari za muda huu wana jF ningependa kuuliza na kujua
Je kama nimeshalipia control number ya passport online nika downlaod na form na imepita miezi sita je nikitaka kwenda kwnye ofisi ya uhamiaji inanibidi nianze upya ufuatiliaji (kulipia 20,000 ) kwenye control number.? au nitaendelea nilipo ishia
 
Ndio kila ktu kipo nimewaza kuwa cotrol number itakua ime expire au zle barua za serikali ya mitaa zinaonesha zmesainiwa miez sita nyuma itakua tatizo
 
Back
Top Bottom