Naweza kuishi wiki mbili kwa Ndizi na dagaa tu?

Naweza kuishi wiki mbili kwa Ndizi na dagaa tu?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Nataka nijifungie mahala wiki mbili, niwe na mkungu wa ndizi, nikila chane moja moja, na dagaa wangu. Je naweza kuishi bila shida kwa diet hiyo?
 
Back
Top Bottom