Naweza kuitumia unlimited supakasi ya voda kwenye simu?

Naweza kuitumia unlimited supakasi ya voda kwenye simu?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Habari zenu, nimeona hii huduma ikiwa inajadiliwa sana humu ndani na ningependa kujua kama naweza kuitumia kwenye simu ya mkononi?

Ni kwa matumizi ya familia nikiwa nyumbani hasa kuanzia mida ya jioni lakini nikiwa ofisini nataka niwe nayo.
 
Kwa ufahamu Wangu mdogo,hii huduma wanakufungia nyumbani halafu njia mojawapo ya kuunganisha nikutumia waya (unapeleka kwenye computer)au wireless ...hii wireless sasa unaweza unga kifaa chochote kitumiacho wireless km simu, ipad, laptop nahata desktop ikiwa na wireless card reader. .so jibu ni yes unaweza mkuu.

Kuhusu ofisini wanaweza kupatia mifi router which is portable wanakuunganisha kwenye same bill naile waliokufungia nyumbani
 
Kwa ufahamu Wangu mdogo,hii huduma wanakufungia nyumbani halafu njia mojawapo ya kuunganisha nikutumia waya (unapeleka kwenye computer)au wireless ...
Hapo hapo ndio pa kuwakamatia, so hio mifi router ina laini ndani?
 
hapo hapo ndio pa kuwakamatia, so hio mifi router ina laini ndani ?
Nifamuvyo km nimtu wa misele sn hukai sehemu moja best option ni mifi router inakua na laini ndani halafu wanakuunga nakifurushi chako. ..ww kazi yako nikukichaji tu nothing else.
 
Habari zenu, nimeona hii huduma ikiwa inajadiliwa sana humu ndani na ningependa kujua kama naweza kuitumia kwenye simu ya mkononi ?

Ni kwa matumizi ya familia nikiwa nyumbani hasa kuanzia mida ya jioni lakini nikiwa ofisini nataka niwe nayo
Ni Microwave mkuu huwezi tumia kwenye simu. The way inavyotuma data toka mnara hadi kwenye kifaa chao nyumbani ni tofauti na simu.

Kwa simu kuna kasi internet ila inadrop speed kuwa ndogo sana ukimaliza GB.
 
This is wrong mkuu...nyumbani lazima wakupe njia ya kukuwekea iliuweze tumia
To mifi router or wakufungie zile router unazoweza tumia kwa watu like 10.
Haijalishi wanakuweka fiber or microwave kikubwa mtumiaji anawezaje patahuduma?
 
soma vizuri swali la mleta mada
 
Back
Top Bottom