Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba ya kisasa maana yake nini? Ujue kuna mtu kwake nyumba ya kisasa pesa hiyo inamaliziwa kwenye tiles tu!
Lakini kama unazungumzia nyumba zetu za kawaida huku mitaani, kwa mfano 3 bedroomed self contained house (+sitting room and kitchen) - yamkini ni kwamba utapaua. Utanza pia finishes lakini hutazimaliza.
fiksiman naomba ufungue hapa NYUMBA KWA MIL 20
Very helpful link Mkuu, sikujua kama kuna wadau walishajadili hili jambo kwa marefu. I hope Mod ataihamishia hii thread kwenye hili thread ya zamani
Naomba ushauri nina mtaji
wa mil 20, tayari nina kiwanja cha kutosha tu. Je naweza kujenga nyumba
nzuri ya kisasa kwa mtaji wa mil 20?
mkuu kamwe hauwezi, hiyo pesa fanyia biashara. Au uanze ukitambua kuwa utafika mahali.. usimame ujipange kwanza.
pesa hiyo hauwezi kufika hata katika level ya madirisha. Msingi tu utakuja kutuambia, na inategemea sana na kiwanja chako kiko level ama la!
Naomba ushauri nina mtaji wa mil 20, tayari nina kiwanja cha kutosha tu. Je naweza kujenga nyumba nzuri ya kisasa kwa mtaji wa mil 20?

nyie ndo mliotajirisha mafundimkuu kamwe hauwezi, hiyo pesa fanyia biashara. Au uanze ukitambua kuwa utafika mahali.. usimame ujipange kwanza.
pesa hiyo hauwezi kufika hata katika level ya madirisha. Msingi tu utakuja kutuambia, na inategemeas sana na kiwanja chako kiko level ama la!
Naomba ushauri nina mtaji wa mil 20, tayari nina kiwanja cha kutosha tu. Je naweza kujenga nyumba nzuri ya kisasa kwa mtaji wa mil 20?