Naweza kujisimamia rufaa mahakamani?

Naweza kujisimamia rufaa mahakamani?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Habari wakuu,

Nina kesi inayohusu masuala ya ndoa. Tumefikia hatima mahalama ya mwanzo pale Stop Center Temeke. Mwenzangu kakata rufaa.

Nimeambiwa na Hakimu kujibu hoja za upande wa pili wa maandishi. Ndio nauliza. Naweza kujibu mwenyewe? Najibu vipi?

Mawazo yenu muhimu sana 🙏
 
Omba nakala ya rufaa kwanza uzione hizo hoja
Nakala ninayo. Hoja zilizopo zinaeleweka. Sema kwa maelezo ya Hakimu, Wakili wa upande wa pili ataandaa maelezo nami ndio natakiwa kuyajibu kwa maandishi ndipo usikilizwaji wa kesi ufuatie.

Hayo maelezo ndio bado hayajaandaliwa, hivyo tarehe husika ikifika nitafuatilia kuchukua nakala kisha kuandaa hayo majibu
 
Nakala ninayo. Hoja zilizopo zinaeleweka. Sema kwa maelezo ya Hakimu, Wakili wa upande wa pili ataandaa maelezo nami ndio natakiwa kuyajibu kwa maandishi ndipo usikilizwaji wa kesi ufuatie. Hayo maelezo ndio bado hayajaandaliwa, hivyo tarehe husika ikifika nitafuatilia kuchukua nakala kisha kuandaa hayo majibu
Sawa sawa
 
Habari wakuu,
Nina kesi inayohusu masuala ya ndoa. Tumefikia hatima mahalama ya mwanzo pale Stop Center Temeke. Mwenzangu kakata rufaa. Nimeambiwa na Hakimu kujibu hoja za upande wa pili wa maandishi. Ndio nauliza. Naweza kujibu mwenyewe? Najibu vipi? Mawazo yenu muhimu sana [emoji120]
Kimsingi hapo mmeomba shauri liendeshwe kwa maandishi hivyo basi kwa wewe kuandika ni ngumu kwa sababu hiyo inahusisha utaalamu (submission) hivyo lazima utafute mtaalamu wa kukuandikia

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Tafuta wakiri wakujitegemea akuandikie ila wastani andaa kati ya 50 elfu mpaka laki
 
Hiyo kesi ndio nimemfanya tuliemshitaki ashindwe kuhudhuria,maana tulikuwq tunampelekeq kitabu na sio karatasi [emoji1] [emoji1787] harafu kwa kimombo.

Jamaa kaona isiwe shidq ngoja nichimbe ili kesi ifutwe [emoji1] [emoji1787]
 
Hiyo kesi ndio nimemfanya tuliemshitaki ashindwe kuhudhuria,maana tulikuwq tunampelekeq kitabu na sio karatasi [emoji1] [emoji1787] harafu kwa kimombo.

Jamaa kaona isiwe shidq ngoja nichimbe ili kesi ifutwe [emoji1] [emoji1787]
Kwani mshitakiwa akikimbia kumbe kesi inafutwa!!??
 
Back
Top Bottom