Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Nakala ninayo. Hoja zilizopo zinaeleweka. Sema kwa maelezo ya Hakimu, Wakili wa upande wa pili ataandaa maelezo nami ndio natakiwa kuyajibu kwa maandishi ndipo usikilizwaji wa kesi ufuatie.Omba nakala ya rufaa kwanza uzione hizo hoja
Sawa sawaNakala ninayo. Hoja zilizopo zinaeleweka. Sema kwa maelezo ya Hakimu, Wakili wa upande wa pili ataandaa maelezo nami ndio natakiwa kuyajibu kwa maandishi ndipo usikilizwaji wa kesi ufuatie. Hayo maelezo ndio bado hayajaandaliwa, hivyo tarehe husika ikifika nitafuatilia kuchukua nakala kisha kuandaa hayo majibu
Kimsingi hapo mmeomba shauri liendeshwe kwa maandishi hivyo basi kwa wewe kuandika ni ngumu kwa sababu hiyo inahusisha utaalamu (submission) hivyo lazima utafute mtaalamu wa kukuandikiaHabari wakuu,
Nina kesi inayohusu masuala ya ndoa. Tumefikia hatima mahalama ya mwanzo pale Stop Center Temeke. Mwenzangu kakata rufaa. Nimeambiwa na Hakimu kujibu hoja za upande wa pili wa maandishi. Ndio nauliza. Naweza kujibu mwenyewe? Najibu vipi? Mawazo yenu muhimu sana [emoji120]
Nashukuru sana kwa maelezo/ufafanuziKimsingi hapo mmeomba shauri liendeshwe kwa maandishi hivyo basi kwa wewe kuandika ni ngumu kwa sababu hiyo inahusisha utaalamu (submission) hivyo lazima utafute mtaalamu wa kukuandikia
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Kwani mshitakiwa akikimbia kumbe kesi inafutwa!!??Hiyo kesi ndio nimemfanya tuliemshitaki ashindwe kuhudhuria,maana tulikuwq tunampelekeq kitabu na sio karatasi [emoji1] [emoji1787] harafu kwa kimombo.
Jamaa kaona isiwe shidq ngoja nichimbe ili kesi ifutwe [emoji1] [emoji1787]