Nina teaching certificate grade A chenye 3.8 GPA awarded as CREDIT + Form 4 certificate chenye dv 3 pts 23 ambapo kina credit 4 na the rest zote ni D + FSS fm 6 certificate + miaka 5 ya uzoefu wa kazi yangu.MATUSI SIPENDELEI WADAU WANGU WA ELIMU
Ahsante mkuu wazo hilo,ninataka kusoma zaidi juu ya teaching,lkn sina ufahamu zaidi juu ya namna gani naweza kufanikiwa ipasavyo thus nikaja humu jamvini kwa ma GT wanifungue,so funguka mkuu juu ya ulichosema