C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,017 Reaction score 5,294 Nov 30, 2022 #1 Vyuo vya afya vimepanga ratiba ya mithani hadi siku ya siku kuu ya kiserikali. Vyuo hivi vina watumishi wa umma pia ambao kwa namna moja ama nyingine wanayo majukumu katika siku hii maalum ya kusherehekea Uhuru wa Tanganyika. Kwanini hawa wanaopanga kazi siku kama hii wasichukuliwe hatua kwa kudharau sheria ya nchi maana ni watumishi wa serikali? Je, ninaweza kukata rufaa kupinga maamuzi yoyote yatakayotolewa dhidi yangu kwa kukataa kufanya mtihani siku hii?
Vyuo vya afya vimepanga ratiba ya mithani hadi siku ya siku kuu ya kiserikali. Vyuo hivi vina watumishi wa umma pia ambao kwa namna moja ama nyingine wanayo majukumu katika siku hii maalum ya kusherehekea Uhuru wa Tanganyika. Kwanini hawa wanaopanga kazi siku kama hii wasichukuliwe hatua kwa kudharau sheria ya nchi maana ni watumishi wa serikali? Je, ninaweza kukata rufaa kupinga maamuzi yoyote yatakayotolewa dhidi yangu kwa kukataa kufanya mtihani siku hii?
Kingsmann JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 4,805 Reaction score 17,850 Nov 30, 2022 #2 Kijana kafanye paper urudi zako kwenu acha mba mba mba....
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,204 Reaction score 15,207 Nov 30, 2022 #3 Vitu vingine puuzia. Hakuna cha maana ulichopanga kufanya siku hiyo ya mtihani. Sawa, unaweza kushinda ila kwa majuto. Hujafanya mtihani, umekaidi. Discontinued!. Unakuja kushinda baada ya miaka miwili. Sasa umeshinda nini? Upuuzi tu.
Vitu vingine puuzia. Hakuna cha maana ulichopanga kufanya siku hiyo ya mtihani. Sawa, unaweza kushinda ila kwa majuto. Hujafanya mtihani, umekaidi. Discontinued!. Unakuja kushinda baada ya miaka miwili. Sasa umeshinda nini? Upuuzi tu.
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,204 Reaction score 15,207 Nov 30, 2022 #4 Kingsmann said: Kijana kafanye paper urudi zako kwenu acha mba mba mba.... Click to expand... Kama hajajiandaa, aandike barua atafanya special.
Kingsmann said: Kijana kafanye paper urudi zako kwenu acha mba mba mba.... Click to expand... Kama hajajiandaa, aandike barua atafanya special.