mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 613
- 313
Waungwana msaada wenu unahitajika.
Chuo kimoja cha ZCBE ambacho kimesajiliwa na Nacte kwa kozi moja tu ya Accountancy kikaamua kuendesha na kozi nyengine hizi hapa :- Business Administration, Procurement and supply na Human Resource katika ngazi ya Certificate na Diploma sasa kwa mfumo wa huko nyuma ilikua wanafunzi wote wanapata kujiunga na Degree bila ya shida ila ulipokuja huuu mfumo wa verification number kutoka nacte imekua shida.
Nacte wameshindwa kutoa verification no kwa wanafunzi wa chuo hicho wakisema kua chuo hicho kimesajiliwa kutoa kozi moja tuuu nyengine zote hawazitambui.
Sasa licha ya kupoteza pesa ila na muda pia si rafiki kwa mtu mwenye malengo Tunaomba msaada wa kisheria namna ya kufanya ili kupata kilicho haki yetu maana chuo kilitudanganya kwa kusema kua kozi hizo zilikua zimesahasajiliwa ila Nacte tuuu hawajazitia katika Database yao.
Hata kukishtaki chuo tuko tayari tunaomba msaada maaana na mie ni mmoja miungoni mwa wahanga.