Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
duh pole sana mkuuHuwa nakumbuka nikiwa na umri huo niliwahi kuambiwa 'hapa sio kwenu' plus nikatandikwa kofi zito sana kisa tu niliomba soda, ni miongoni mwa matukio ambaya kila nikiyakumbuka huwa naona ni kama limetokea muda mfupi uliopita, ila nilishasamehe
Hata mazuri hayafutiki, inategemea na liliuchukua moyo wako vip,Matukio mabaya ndo huwa hayafutiki kuliko mazuri
baasi baasi baba [kwa sauti ya zomboko wa itv]Dah em ngoja nilie kwanza [emoji24]