Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
Ndugu wajasiriamali wenzangu nataka kuanza kilimo cha umwagiliaji maeneo ya mto Ruvu. Kwahiyo napenda kufahamu kwa wazoefu ni mazao gani yenye soko la uhakika jamii ya mboga mboga na matunda. Nategemea kulima zaidi ya zao moja.
Karibuni jukwaani.
Karibuni jukwaani.