Naweza kulima mazao gani jamii ya mboga mboga Mto Ruvu yenye soko la uhakika

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
407
Reaction score
178
Ndugu wajasiriamali wenzangu nataka kuanza kilimo cha umwagiliaji maeneo ya mto Ruvu. Kwahiyo napenda kufahamu kwa wazoefu ni mazao gani yenye soko la uhakika jamii ya mboga mboga na matunda. Nategemea kulima zaidi ya zao moja.

Karibuni jukwaani.
 
Lima nyanya, cabbage Chinese, hoho, na nyanya chungu zile tamu wao waita yebo yebo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…