Ngimwike Paul
Member
- Dec 30, 2024
- 9
- 3
Unafikiri kwa nn walimuuliza hr wako? Wanajua huwa mnadanganya elimu mnapo-process mafao. Kama hr ameconfirm ni you were skilled labour jiandae kuchukua 33.3 then subiri miezi 18 kama hujaajiriwa ndio upate mpunga wako wote.
Na huifanyi chochote dadekiyani hela ni yangu na nalazimishwa kutunziwa. Siku nikihitaji napewa 33.3% tena bila riba
Serikali ni katili sanaNa huifanyi chochote dadeki
Halafu nssf wao wanawekeza CRDB wanamiliki Hisa 17M.yani hela ni yangu na nalazimishwa kutunziwa. Siku nikihitaji napewa 33.3% tena bila riba
Hii ni sababu mojawapo kwanini nitoke October 29Halafu nssf wao wanawekeza CRDB wanamiliki Hisa 17M.
Usijali mzee, tupo pamojahela ipo,subir mpunga wako tu mjomba..na usinisahau chochote kitu ikitoka,posho ya kukutia moyo na ushauri!!
Certicate holder nakuaje skilled kiongozi??Unafikiri kwa nn walimuuliza hr wako? Wanajua huwa mnadanganya elimu mnapo-process mafao. Kama hr ameconfirm ni you were skilled labour jiandae kuchukua 33.3 then subiri miezi 18 kama hujaajiriwa ndio upate mpunga wako wote.
Unaelewaje kuhusu skilled? (Ujuzi wa kazi). A certificate holder can be skilled in specialized field eg masonry, welding, driving etc. Usikariri mpaka uwe na masters or phd ndio uwe skilled laborer. Kiufupi ujuzi wa kazi ni uzoefu kwa kitu ulichosomea na kugraduate katika level yoyote.Certicate holder nakuaje skilled kiongozi??
33.3% ni lump sum money au watakulipa asilimia hizo 33.3 kwa mishahara yako mitatu ya mwisho?Unafikiri kwa nn walimuuliza hr wako? Wanajua huwa mnadanganya elimu mnapo-process mafao. Kama hr ameconfirm ni you were skilled labour jiandae kuchukua 33.3 then subiri miezi 18 kama hujaajiriwa ndio upate mpunga wako wote.