Usiwalishe zaidi ya 10% ya total feeds per day kulisha kiwango kikubwa inamadhara kutokana na chemical iitwayo mimosine inayopatikana kwenye leucaena.
Japo kuna njia za kupunguza hio chemical kwenye hayo majani kama kuyakausha then unayachanganya na vyakula vingine kama pumba na mashudu .
leucaena offcoz ni nzuri inaviwango vingi vya lysine methionine ,thionine ,madini na aina nyingine za amino acids unaweza kutumia kwenye kama mbadala wa soya hivo kupunguza gharama za kulisha wanyama wako na ukapata matokeo mazuri tu