Naweza kuomba chuo gani kwa alama hizi

babo

Senior Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
194
Reaction score
23
Habari wanajamii,

Naomba mniseidie hapa, eti mtu alie pata dv 4 yaani ana C 1 na D4 ila ana F ya bio na eng.

Anaweza chuo gani, naomba mnijuze wadau
 
Habar wanajamii,naomba mniseidie hapa,eti mtu alie pata dv 4 yaani ana C 1 na D4 ila ana F ya bio na eng,anaweza chuo gani,naomba mnijuze wadau

bainisha dv iv ipi 2012 kurud nyuma ama hii "brainwashing"ilioanza 2013.
 
Poa mkuu,nimekupata,utumish wa umma ni kama vyuo vipi ndg
 
chuo cha utumisha wa umma singida na dar kipo pia vingine cfahamu ila marks zako umeshapata apo kwenye ivyo vyuo!
 
Asante, Vp ajira zake mkuu zinapatikan au kwa foleni kama za uhamiaji
 
CBE, IFM, TIA, IJA, IRDP, IAA etc vyote hivyo kwa ngazi ya Certificate
 
Asant,kwa sasa naweza kupata nafasi au nimechelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…