Naweza kuongezewa mkopo HESLB?

Naweza kuongezewa mkopo HESLB?

Neyli

Member
Joined
Oct 23, 2023
Posts
7
Reaction score
11
Habarini ndugu zangu naomba kuuliza kama nimepata mkopo asilimia 20% je, naweza kuomba kuongezewa?
 
Kata rufa, weka viambata vinavyokufanya kutoridhika na mkopo huo!. Wakilidhika wanakupa inatokea watu huongezewa.
 
Asantenii kwa ushaurii mzuri japo sina kiambata chochote zaidi
 
Back
Top Bottom