M Madam Hero Member Joined Oct 7, 2018 Posts 28 Reaction score 30 Jan 31, 2019 #1 Habari wana jamvi Nina laki na nusu nashida ya simu smartphone, naombeni mnijuze aina gani ya simu imara naweza kupata kwa bei hiyo hapa kariakoo Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana jamvi Nina laki na nusu nashida ya simu smartphone, naombeni mnijuze aina gani ya simu imara naweza kupata kwa bei hiyo hapa kariakoo Sent using Jamii Forums mobile app
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,116 Reaction score 5,370 Jan 31, 2019 #2 hapo mbona utaishia kwa tecno na itel mkuu!!? Sent using Jamii Forums mobile app
M Madam Hero Member Joined Oct 7, 2018 Posts 28 Reaction score 30 Jan 31, 2019 Thread starter #3 ISLETS said: hapo mbona utaishia kwa tecno na itel mkuu!!? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hizo hizo ndo nataka Sent using Jamii Forums mobile app
ISLETS said: hapo mbona utaishia kwa tecno na itel mkuu!!? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hizo hizo ndo nataka Sent using Jamii Forums mobile app
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,116 Reaction score 5,370 Jan 31, 2019 #4 Madam Hero said: Hizo hizo ndo nataka Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Binafsi hizo sijui matoleo ya saizi ubora wake. Ila tafuta hii tecno S2 nimeona specifications zake sio mbaya kulingana na bei. Tafuta ile ambayo RAM yake ni 2GB sio 1GB.
Madam Hero said: Hizo hizo ndo nataka Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Binafsi hizo sijui matoleo ya saizi ubora wake. Ila tafuta hii tecno S2 nimeona specifications zake sio mbaya kulingana na bei. Tafuta ile ambayo RAM yake ni 2GB sio 1GB.