X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
MKUU NIPO RUVU UKU PWANI...Alteza ni gari za wahuni lazma nawe utakuwa miongoni mwao,Gari hadi inafugwa waya? Any way bumper zipo nying tu sema upo mkoa gan
mkuu inaweza kufikia shilingi ngapi?Pwani aisee sina connection hpo fanya kuchoma mafuta hadi dsm
asante mkuu...uwezi kuniunganisha na mtuu kama unaye anahusika?Nenda Mtaa wa Shaurimoyo/Lindi pale nyuma ya shule ya Benjamin Mkapa High School - Kariakoo , utapata.
Hahahaha gari za wahuni, kama nakubali fulani hivi, hahahahaAlteza ni gari za wahuni lazma nawe utakuwa miongoni mwao,Gari hadi inafugwa waya? Any way bumper zipo nying tu sema upo mkoa gan
asante kwa ushauri mkuuMkuu, hilo bumper la sporty haliendani na bara bara zetu, na ndio maana limechanika kwa sababu gari ikiingia kwenye mashimo linagusa chini. Kama unakaa Sitimbi, weka tu lile la kawaida ili usiumize roho yako...
asante kwa ushauriHapo andaa si chini ya Laki 3 hadi 4. Body parts za gari kama Bumper, Grill, Side kits au lips bei zake si haba wakati ni kitu kidogo tu.