Undeceteris
Member
- May 15, 2021
- 47
- 29
Kwa matokeo haya naweza pata chuo (EDE-hge) degree coz za biashara? Nmefany mtihan 2019, mwaka huu nmerudia economics can uhakika na matokeo yatakavyotoka mana pepa ilikaza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa matokeo haya naweza pata chuo (EDE-hge) degree coz za biashara? Nmefany mtihan 2019,mwaka huw nmerudia economics can uhakika na matokeo Yatakavotoka mana pepa ilikaza sana
Pesa tatzo mana nmesom kwa kujtegemea sana SNA msaada chet Chang pia kina p €sDigrii huwezi pata kwa matokeo hayo maana point hazitoshi,inatakiwa point 4 kwa masomo mawili hapo naona una point 3 kwa masomo mawili.Mwombe mungu upate point 2 au zaidi kwa somo ulilorudia otherwise ukasome diploma kwanza then utaendelea kwa kutumia chet cha diploma.