Digrii huwezi pata kwa matokeo hayo maana point hazitoshi,inatakiwa point 4 kwa masomo mawili hapo naona una point 3 kwa masomo mawili.Mwombe mungu upate point 2 au zaidi kwa somo ulilorudia otherwise ukasome diploma kwanza then utaendelea kwa kutumia chet cha diploma.