Naweza kupata ekari 1 kwa 1M eneo la msata to Bagamoyo?

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
623
Natafuta ekari moja eneo la Msata, Kiwangwa hadi bagamoyo barabarani.
Iwe karibu na barabara ya Dar Msata kabisa, kama kuna mtu anayo anipm.
Bajeti yangu haizidi 1M, mimi nipo Dar.
 
Kuna mdau nilimsikia anauza eneo maeneo ya Mbwewe. Vipi huko hakukufai? Ni jirani tu na maeneo ya huko Msata.
 
Mbwewe mbali sana labda kama ni barabarani
 
Unapata shangazi yangu anazo makurunge nyia panda ya sadan ekari 10 azijapimwa lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…