Dr.philosophy
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 122
- 27
Jamani msaada wenu tafadhali.
NJana nilienda saloon kunyoa,sasa jamaa mashine yake ni kali mno na kwa bahati mbaya akanikata sehemu kubwa kidogo.
Nikamuuliza mtu wa kwanza kunyolewa ni yupi akasema mimi ndo wa kwanza,sasa sijui kuna uwezekano wa kupata maambukizi au vipi mana jana yake kuna jamaa alikuja kunyoa akafuata dogo fulani hivi then mimi nikaja kunyoa kesho yake ambayo ndo jana.
Msaada tafadhali.Natanguliza shukrani.