Dr.philosophy
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 122
- 27
Yaaani tayari wewe ni muathirika anza kumeza ARV
jamani msaada wenu tafadhali.jana nilienda saloon kunyoa,sasa jamaa mashine yake ni kali mno na kwa bahati mbaya akanikata sehemu kubwa kdogo.Nikamuuliza mtu wa kwanza kunyolewa ni yupi akasema mimi ndo wa kwanza,sasa sijui kuna uwezekano wa kupata maambukizi au vipi mana jana yake kuna jamaa alikuja kunyoa akafuata dogo flan hivi then mi nikaja kunyoa kesho yake ambayo ndo jana.msaada tafadhali.natanguliza shukrani
siyo kweli
namshauri kabla ya kunyoa ahakikishe mashine imekuwa sterilized na spirit
Kumbe spirit inaua vvu basi ni bora tungekuwa tunapaka spirit madushelele tukimaliza kutomba ili kuya sterelize
mi nilishapima mara tatu nipo fresh tu sasa kuna watu wanafanya utani humu wakati ni serious issueWe umepima? Vp ikiwa kujikata kwako îkawa chachu ya maambukiz kwa wengne'...
Nilipaka spirit na kumuuliza kuhusu watu walionyoa siku hiyo akasema mi ndo wa kwanza sasa vvu wanaweza kuwa alive kwa zaidi ya masaa kumi,hapo sijajua sasaBaada ya Hapo ulichukua hatua gani mkuu
mi nkajua we ni great thinker kumbe ni empty-mindedYaaani tayari wewe ni muathirika anza kumeza ARV
Nilipaka spirit na kumuuliza kuhusu watu walionyoa siku hiyo akasema mi ndo wa kwanza sasa vvu wanaweza kuwa alive kwa zaidi ya masaa kumi,hapo sijajua sasa
Daah basi nilikuwa na shaka sana,ila kuna dokta nilimuuliza akasema kuwa vvu hawawezi kukaa outside the body(host) kwa zaidi ya masaa matatu,sasa nipo katika kupata uhakika tuMkuu maambukizi kwa njia ya shaving machine is almost NIL kikubwa zingatia kabla haijatua kichwani mwako imepakwa spirit. Pia no vyema ukawa name mashine yako peke yako au name family kuepuka risk
Mimi mwenyewe ni victim lakini sijaambukizwa maradhi yoyote.
Ondoa shaka
siyo kweli
namshauri kabla ya kunyoa ahakikishe mashine imekuwa sterilized na spirit
Naomba nami kuelimishwa zaidi hapa maana nafika sana saloon kunyoa, spirit kweli inaweza isafisha machine na kuwa salama kabisa? Nataka nianzishe utaratibu wa kusimamia mwenyewe ikisafishwa kabla ya kuitumia kabla sijapata machine yangu mwenyewe.