NAWEZA KUPATA HOSPITAL NZURI INAYO DILI NA MASWALA YA UZAZI?

NAWEZA KUPATA HOSPITAL NZURI INAYO DILI NA MASWALA YA UZAZI?

mjasiliamali makini

Senior Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
105
Reaction score
134
Hodi wakuu Mimi Nina mke wangu tunaishi Dar es salaam, tuna miaka mitano kwenye ndoa bila mtoto tafadhali anayejua hospital ambayo tukienda tutapata msaada maelekezo tafadhali, ahsante.
 
Anaomba kama mtu Anaya Hospital nzuri heti mnauliza nanni anamatatizo !! Mbona ujamsaidia kutatua matatizo yake ? Nakushauri nenda Muhimbili kuna mabingwa wa akina mama utapata ushauri mzuri
 
Anaomba kama mtu Anaya Hospital nzuri heti mnauliza nanni anamatatizo !! Mbona ujamsaidia kutatua matatizo yake ? Nakushauri nenda Muhimbili kuna mabingwa wa akina mama utapata ushauri mzuri
Ahsante kwa ushauri mzuri,je ni siku zote au kuna siku maarumu za kuwaona madoctor?msaada mkuu.
 
Ahsante kwa ushauri mzuri,je ni siku zote au kuna siku maarumu za kuwaona madoctor?msaada mkuu.
Mkuu ukiwa na tatizo kama hilo unakwenda wewe mwenyewe pale unaulizia. Ukiulizia utaambiwa taratibu zote. Pia kama mfuko wako uko vizuri Aghakhan ni hospital nzuri,
 
Pole sana Mkuu. Ila nakushauri muende Muhimbili(Wewe na Mkeo) omba kuonana na Gynecologist.
Pia pale TMJ yupo Gynecologist mzuri tu anaitwa Dr. Debora.
Nashuru sana mkuu kwa mwongozo mzuri,nimefaeijika sana.
 
Back
Top Bottom