mjasiliamali makini
Senior Member
- Jan 16, 2018
- 105
- 134
Sijaenda hospital mkuu hila kuna mda nilionana na Doctor akanambia homon za mama hazijabalance.Pole mkuu tatizo analo nan??
Ahsante kwa ushauri mzuri,je ni siku zote au kuna siku maarumu za kuwaona madoctor?msaada mkuu.Anaomba kama mtu Anaya Hospital nzuri heti mnauliza nanni anamatatizo !! Mbona ujamsaidia kutatua matatizo yake ? Nakushauri nenda Muhimbili kuna mabingwa wa akina mama utapata ushauri mzuri
Mkuu ukiwa na tatizo kama hilo unakwenda wewe mwenyewe pale unaulizia. Ukiulizia utaambiwa taratibu zote. Pia kama mfuko wako uko vizuri Aghakhan ni hospital nzuri,Ahsante kwa ushauri mzuri,je ni siku zote au kuna siku maarumu za kuwaona madoctor?msaada mkuu.
Ahsante mkuu nitaenda nae pale Muhimbili maana mfuko so Mkubwa mkuu.
Nashuru sana mkuu kwa mwongozo mzuri,nimefaeijika sana.Pole sana Mkuu. Ila nakushauri muende Muhimbili(Wewe na Mkeo) omba kuonana na Gynecologist.
Pia pale TMJ yupo Gynecologist mzuri tu anaitwa Dr. Debora.
mkuu ukihitaji msaada wowote hata PM unaweza nitumia msg, Pale TMJ wana maabara nzuri sana.Nashuru sana mkuu kwa mwongozo mzuri,nimefaeijika sana.