Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Mzee wa Mara😂😂🚶🚶Wakuu angalieni ID ya jamaa aliye comment first....
Wee jamaaa sio mda wataanza kukutafuta wale jamaa wa jukwaa la intelligenceMzee wa Mara😂😂🚶🚶
Asante mkuu mbona sijasikia?Awamu nyingine imeanza leo ya kujiandikisha, fanya haraka ni zoezi la siku 7 tu.
Asante mkuuNenda ofisi ya mtendaji kata, wapo huko.
Ina nini?Wakuu angalieni ID ya jamaa aliye comment first....
CHADEMA hawashiriki uchaguzi, utamchagua nani?Wakati wanaandikisha kwenye eneo langu bahati mbaya nilikuwa nimesafiri
Natamani kupiga Kura
Je kuna utaratibu gani WA kunisaidia
Naomba wataalamu mnisaidie
Jitahidi uonane na viongizi wa juu wa CCM ukiwa au bila kadi ya CCM utapata bila shida.Wakati wanaandikisha kwenye eneo langu bahati mbaya nilikuwa nimesafiri
Natamani kupiga Kura
Je kuna utaratibu gani WA kunisaidia
Naomba wataalamu mnisaidie
Kwenye uchaguzi hatuchagui chama tunachagua mtu, ni ujinga kupigia kura chama badala ya mgombea anayefaa, ujinga huu ndio unatufanya tulalamike eti mbunge wetu hajafanya lolote huku sisi wenyewe ndio tuliolichagua garasa.CHADEMA hawashiriki uchaguzi, utamchagua nani?
Wameanza tena. Chap tu unapata.Wakati wanaandikisha kwenye eneo langu bahati mbaya nilikuwa nimesafiri
Natamani kupiga Kura
Je kuna utaratibu gani WA kunisaidia
Naomba wataalamu mnisaidie
Just imagine eti unampigia Kura mdudeKwenye uchaguzi hatuchagui chama tunachagua mtu, ni ujinga kupigia kura chama badala ya mgombea anayefaa, ujinga huu ndio unatufanya tulalamike eti mbunge wetu hajafanya lolote huku sisi wenyewe ndio tuliolichagua garasa.
Shukrani mkuu najipanga hapa Kesho mapema tuWameanza tena. Chap tu unapata.
Mama samiaCHADEMA hawashiriki uchaguzi, utamchagua nani?
Ameshashinda bila hata kuraMama samia
Acha hizo, wewe Mdude umemjulia wapi! Usifuate uhasama wa watu wengine kisha na wewe ukaubeba, Mdude amewashinda hoja badala yake wansmnyamazisha kwa kutumia nguvu.Just imagine eti unampigia Kura mdude
Hata kama ni mwanachama ila tuangalie jamani
Nakuheshimu Sana mkuu.naomba yaishe Tu sitaki kukukera.yaisheAcha hizo, wewe Mdude umemjulia wapi! Usifuate uhasama wa watu wengine kisha na wewe ukaubeba, Mdude amewashinda hoja badala yake wansmnyamazisha kwa kutumia nguvu.