Naweza kupata (kudownload) katiba mtandaoni

Naweza kupata (kudownload) katiba mtandaoni

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
967
Reaction score
668
Wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, huku mtandaoni naweza kupata katiba ambayo ipo updated?
Naomba kama kuna mtu anajua anijuze au kama ana softcopy(pdf) pia nitashukuru.

Naomba kuwasilisha.
 
Nashukuru, ila kama unayo ya kiswahili itanifaa zaidi, halafu mbona mambo ya ndoa kwenye katiba siyaoni au hizo sheria za ndoa hazikai kwenye katiba?
Siyo 'Sheria za Ndoa' ni 'Sheria ya Ndoa' ipo mtandaoni ya 2016,, haipo kwenye Katiba
 
Siyo 'Sheria za Ndoa' ni 'Sheria ya Ndoa' ipo mtandaoni ya 2016,, haipo kwenye Katiba
Hee 😳😳😳, sasa mbona hii ipo very inconvenient, kwanini sheria zote zisiwekwe sehemu moja, kuna ubaya gani au hasara gani sheria zote zikawa kwenye sehemu moja. Kwahiyo inawezekana sheria za madini, ndoa na mambo mengine zimetengwa kivyake vyake na mtu akitaka kuaccess contents za hizo sheria itabid akazipate wapi?.

Dah, nilikuwa silijuagi hili swala kabisa, kwahiyo kuna mpango wowote wa kuintegrate sheria zote ziwe sehemu moja au watu ndo tumeshazoea?
Enhee hiyo sheria ya ndoa naipata wapi, naomba uweke link kama unayo plz.
 
Back
Top Bottom