Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Nashukuru, ila kama unayo ya kiswahili itanifaa zaidi, halafu mbona mambo ya ndoa kwenye katiba siyaoni au hizo sheria za ndoa hazikai kwenye katiba?
Siyo 'Sheria za Ndoa' ni 'Sheria ya Ndoa' ipo mtandaoni ya 2016,, haipo kwenye KatibaNashukuru, ila kama unayo ya kiswahili itanifaa zaidi, halafu mbona mambo ya ndoa kwenye katiba siyaoni au hizo sheria za ndoa hazikai kwenye katiba?
Hee 😳😳😳, sasa mbona hii ipo very inconvenient, kwanini sheria zote zisiwekwe sehemu moja, kuna ubaya gani au hasara gani sheria zote zikawa kwenye sehemu moja. Kwahiyo inawezekana sheria za madini, ndoa na mambo mengine zimetengwa kivyake vyake na mtu akitaka kuaccess contents za hizo sheria itabid akazipate wapi?.Siyo 'Sheria za Ndoa' ni 'Sheria ya Ndoa' ipo mtandaoni ya 2016,, haipo kwenye Katiba