Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini naona kama Dunia inahama kwenye Manualgari ni manual boss
Dunia inahamia Auto Sio manualLakini naona kama Dunia inahama kwenye Manual
Ni pesa yako tu mkuu hata bila kujua manual au automatic unapata leseni, ila kama wewe ni wakiume ni vyema ukajua kusukuma manual pia.Naweza pata lesseni kwa kujifunza Gari Automatic pekee bila kujifunza manual?
Driving test watanikubalia?
NAni kakudanganya????? Ukishawahi kuona Landcruiser 70 series (mkonge) ikija automatic????? Hata ya 2023.. manual..... gari nyingi version ya kazi (standard version) - hilux, hata V8 landcruiser 200series, amarock, ford ranger zinatoka manual....Dunia inahamia Auto Sio manual
NAni kakudanganya????? Ukishawahi kuona Landcruiser 70 series (mkonge) ikija automatic????? Hata ya 2023.. manual..... gari nyingi version ya kazi (standard version) - hilux, hata V8 landcruiser 200series, amarock, ford ranger zinatoka manual....
Ila bado gari za manual zinatengenezwa..nimeona kampuni ya VW wanayo Jetta manual ya 2023Lakini naona kama Dunia inahama kwenye Manual
Watakutest kwa kutumia la automatic. Kuna watu wengi tu, wa kiume na wa kike, wenye leseni na magari yao pekee wanayomudu kuyaendesha ni automatic.Naweza pata lesseni kwa kujifunza Gari Automatic pekee bila kujifunza manual?
Driving test watanikubalia?
Vyuo vingi vya driving jijin Dsm.wana option ya manual pia though sheria hairuhu ikigundulika fine yake ni 500kNaweza pata lesseni kwa kujifunza Gari Automatic pekee bila kujifunza manual?
Driving test watanikubalia?
Mkuu una akili sana.View attachment 2761345View attachment 2761346View attachment 2761347
Swala siyo kuwahi kuona ikija. Hapo issue ni kuagiza atakacho.
Hizo habari za eti gari ni manual, ni story tu, dunia imeshakua flexible enough to accommodate mahitaji ya wote.
Yeye anaagiza aina ya gari aipendayo kulingana na mahitaji yake. Yeye si mpenzi story za kupanga gia au story za magari.
Mwanaume aliyekamilika ni yule mwenye uwezo wa kuendesha gari la Manual na anaeweza kuogelea. Kinyume na hapo huyo ni Zuchu tu.(Joke)Naweza pata lesseni kwa kujifunza Gari Automatic pekee bila kujifunza manual?
Driving test watanikubalia?
Kila kitu kinawezekana uzito wa mfuko wako tuNaweza pata lesseni kwa kujifunza Gari Automatic pekee bila kujifunza manual?
Driving test watanikubalia?
Daaaah.... fvck uMwanaume aliyekamilika ni yule mwenye uwezowa kuendesha gari la Manual na anaeweza kuogelea. Kinyume na hapo huyo ni Zuchu tu.(Joke)