Naweza kupata lesseni kwa kujifunza Gari Automatic pekee bila kujifunza manual?

Dunia inahamia Auto Sio manual
NAni kakudanganya????? Ukishawahi kuona Landcruiser 70 series (mkonge) ikija automatic????? Hata ya 2023.. manual..... gari nyingi version ya kazi (standard version) - hilux, hata V8 landcruiser 200series, amarock, ford ranger zinatoka manual....
 
Swala siyo kuwahi kuona ikija. Hapo issue ni kuagiza atakacho.
Hizo habari za eti gari ni manual, ni story tu, dunia imeshakua flexible enough to accommodate mahitaji ya wote.
Yeye anaagiza aina ya gari aipendayo kulingana na mahitaji yake. Yeye si mpenzi story za kupanga gia au story za magari.
 
Naweza pata lesseni kwa kujifunza Gari Automatic pekee bila kujifunza manual?

Driving test watanikubalia?
Watakutest kwa kutumia la automatic. Kuna watu wengi tu, wa kiume na wa kike, wenye leseni na magari yao pekee wanayomudu kuyaendesha ni automatic.
 
Naweza pata lesseni kwa kujifunza Gari Automatic pekee bila kujifunza manual?

Driving test watanikubalia?
Vyuo vingi vya driving jijin Dsm.wana option ya manual pia though sheria hairuhu ikigundulika fine yake ni 500k

Kuna instructor mmoja alikuwa ana wafundisha mademu kwa kutumia manual , jamaa ilikuwa ni sharti ukanyage wese yaan 50 km unless ukute kibao cha katazo ya speed chin ya 50 km
 
Mkuu una akili sana.
Hawa madereva wa magari ya fiat na iveko wanakuwaga na stori za kitako sana
 
Inshu ya Leseni ni hela yako mzee, hata kama hujui kuendesha gari unapata
 
Naweza pata lesseni kwa kujifunza Gari Automatic pekee bila kujifunza manual?

Driving test watanikubalia?
Mwanaume aliyekamilika ni yule mwenye uwezo wa kuendesha gari la Manual na anaeweza kuogelea. Kinyume na hapo huyo ni Zuchu tu.(Joke)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…