Naweza kupata mashine ndogo ya uzalishaji sukari?

ghalibudadi

Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
29
Reaction score
9
abarini ndugu jamaa na marafiki natumaini kuwa ni wazima wa afya kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu nilikuwa naitaji mashine ndogo ya uzalishaji wa sukari he naweza kupata na inagarimu kiasigani kama yupo anafaham naomba anijuze garama zake kama naweza kuzimudu.
 
Hongera kwa mpango wa kutaka fungua Kiwanda kdg cha Sukari!

Ova
 
Ndio,bahati nzuri wachina walibarikiwa kuliko watu wote,wana solution ya karibu kila kitu hapa duniani,
nenda alibaba huwezi kosa,
au google min sugar plant
 
Ndio,bahati nzuri wachina walibarikiwa kuliko watu wote,wana solution ya karibu kila kitu hapa duniani,
nenda alibaba huwezi kosa,
au google min sugar plant
asante nitaufanyia kazi ushauri wako kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…