Proffesor anasema. .. gpa 3.4 unatafuta sponsorship. . We kalime tu watu wana gpa za 4.4 tena ya udsm na bado hawapat hizoooooo sponsorship. . Kalime tu mkuuuuu usipoteze muda

Mkuu hujamtendea haki muuliza swali, kwanza big GPA is not everything, ungemuuliza
1. Umesomea nini?
2. Sponsorship ya Masters ameanza kazi wap?
3. Kwanini asitafute hela/Kazi kisha akasoma kitu anachopenda bila kuhangaika na masharti ya sponsor?
Na mwisho Kwa Mleta mada...kama amesoma UDSM mambo ya Botany/Zoology kuna sponsorship kibao zinakosaga watu.. nenda pale Botany/Zoology kwa maelezo zaid.
Kama ulisoma course nyingine uskate tamaa kusanya hela ujisomeshe mwenyewe alafu acha akil za kutaka kusaidiwa kila kitu....Umepewa gari bado na mafuta wakuwekee?
Hii inaonyesha waafrika jinsi tulivyo nasikini wa fikra, hata tusome na tuwe maprofesa kama wewe (huenda una pass na hata masters unaisikia tu kwenye magazeti) hatuwezi kuelimika.
GPA kubwa ni moja tu ya requirement ya scholarship nyingi duniani lakini siyo kila wakati, kuna vigezo vingi huzibgatiwa mtu kupata scholarship, acha kumkatisha mwenzio tamaa huo ni upumbavu na siyo ujinga kwasababu mjinga kuna siku ataelimika.
Halafu nani kakwambia mtu akisoma UDSM ndo bora kuliko aliyesoma vyuo vingine kama mzumbe and the like.
Tusiwe tunakatishana tamaa hivyo, kama wewe unajua jaiwezekani mtoa thread kupata scholarship mjibu vizuri siyo kama ulivyofanya, acheni tabia za kizamani, hii ni karne nyingine atii.
Mkuu hujamtendea haki muuliza swali, kwanza big GPA is not everything, ungemuuliza
1. Umesomea nini?
2. Sponsorship ya Masters ameanza kazi wap?
3. Kwanini asitafute hela/Kazi kisha akasoma kitu anachopenda bila kuhangaika na masharti ya sponsor?
Na mwisho Kwa Mleta mada...kama amesoma UDSM mambo ya Botany/Zoology kuna sponsorship kibao zinakosaga watu.. nenda pale Botany/Zoology kwa maelezo zaid.
Kama ulisoma course nyingine uskate tamaa kusanya hela ujisomeshe mwenyewe alafu acha akil za kutaka kusaidiwa kila kitu....Umepewa gari bado na mafuta wakuwekee?
Proffesor anasema. .. gpa 3.4 unatafuta sponsorship. . We kalime tu watu wana gpa za 4.4 tena ya udsm na bado hawapat hizoooooo sponsorship. . Kalime tu mkuuuuu usipoteze muda
Mkuu mimi nimesoma mambo ya Kilimo SUA na nafanya kazi na Shirika flan liko chini ya ufadhili wa USAID,nina mkataba wa miaka mitano na ninapata maslahi.mazuri sana,lakini nina mpango wa kuongeza elimu yangu ili nipanue upeo na ufanisi wa kufanya kazi
Sasa sikia mimi ckupata hata hayo maslah mazuri kama wewe ninamalizia Dissertation mwaka huu nichukue gamba langu, achana na mambo ya sponsor kaka...u are in very good situation right now..u can manage.