Black Lady
Member
- Nov 16, 2013
- 65
- 8
Habari wakuu.
Mimi na Mr tumekua tukiishi mbali kwa sababu ya kazi, wiki ilopita nimerudi likizo nikiwa kwny danger days. I mean siku ya 10 nimekaa siku 6 na zote tulifanya mapenzi.
Nikaanza kutumia vidonge vya majira cku ya 11 na kuendelea. Je ninaweza kushika mimba kwenyesituation kama hiyo? Thanks in advance.