Black Lady
Member
- Nov 16, 2013
- 65
- 8
Una watoto?
Nifahamuvyo vidonge vya majira unatakiwa unywe kila siku kama unatumia njia hiyo.
Kuhusu kupata mimba kwa siku hizo ulizosema uwezekano ni mkubwa kwa sababu ni siku za hatari na hivyi vidonge sidhani kama vitakusaidia kwa ghafla namna hiyo.
Cha msingi mwambie mzee atoe nje kipindi akitaka kumaliza au mtumie kinga.
Ni kwa kadri ya uelewa wangu.
asantemi kwa ushauri. ni baada ya mda gani mimba inaonekana kwenye upt. thanx @iyoko nkongu
ninae mmoja@nitonye
habari wakuu.
mimi na Mr tumekua tukiishi mbali kwa sababu ya kazi. wk ilopita nimerudi likizo nikiwa kwny danger days. i mean siku ya 10 nimekaa siku 6 na zote tulifanya mapenzi. nikaanza kutumia vidonge vya majira cku ya 11 na kuendelea. je ninaweza kushika mimba kwenyesituation kama hiyo? thanx in adv