kingjohn255
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 403
- 521
Huko mbali nataka kwa dar tu hasa wilaya nilizozitaja ila ungependeza zaidi nikapata ndani ya wilaya ya ubungoNina chumba na sebule self tiles zipo mpaka barazani.
Maili Moja kipo Ungindoni.
akaribie sana tu vyumba vipo vingiJoseverest hakika haupo kumsaidia mgeni wa dar bhana katokea mkoani sijui mtumishi wa serikali
Ni hela yake tyu ndio itamweka mjiniakaribie sana tu vyumba vipo vingi
Sahihi kabisa mkuuNi hela yake tyu ndio itamweka mjini
Sory kwa kuchanganya mada wadau kuna mtu yyt humu ndani na anaepatikana jijini dar es salaam anaejua wapi naweza kupata nyumba ya kupanga
Vigezo
Vyumba 2+
Viwe na tiles
Sebule kubwa
Mwenye nyumba asiwe anaish hapo
Awe anachukua kodi kuanzia miezi 4+
Iwe katika wilaya zifuatazo
Ubungo temeke na kinondoni
Kama yupo ani pm plz
Nayafahamu vizuri haya maeneo, yametulia.kwa watu wa ibada kanisa na msikiti vipo karibu pia. Nakaaga sana kisangani pub na msolopaNjoo ninayo, IPO Mbezi Makabe,wilaya ya Ubungo, eneo linaitwa Mwanza garage, umbali toka Barbara kubwa ni 200m tu, ipo ndani ya Fensi, Umeme na kisima cha maji. Full Tiles, Kodi 300K * 6moths minimum.
Mbezi makabe mbali sana mkuu na sio hizo mita 200 kutoka barabarani kama unavyosemaNjoo ninayo, IPO Mbezi Makabe,wilaya ya Ubungo, eneo linaitwa Mwanza garage, umbali toka Barbara kubwa ni 200m tu, ipo ndani ya Fensi, Umeme na kisima cha maji. Full Tiles, Kodi 300K * 6moths minimum.
Kwa mbezi makabe inahitaji usafili mwingine ili niweze kufika mbezi stand nataka angalau karibu na barabar kuu ya morogoroNayafahamu vizuri haya maeneo, yametulia.kwa watu wa ibada kanisa na msikiti vipo karibu pia. Nakaaga sana kisangani pub na msolopa
Haina mbaya mkuu, utapata.Kwa mbezi makabe inahitaji usafili mwingine ili niweze kufika mbezi stand nataka angalau karibu na barabar kuu ya morogoro
Huko karibu na barabara nikipata itakua angalauHaina mbaya mkuu, utapata.