Naweza kupata PC kali kwa bei ya 400,000/=?

Naweza kupata PC kali kwa bei ya 400,000/=?

Superfly

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
985
Reaction score
2,066
Wakuu kwema? I hope mko poa

Nina 400,000/= hapa nahitaji kununua PC, ningependa mnishauri kwa budget hii

- Napata Laptop MPYA yenye uwezo gani? na wapi naweza kuipata?

- Napata laptop USED yenye Uwezo gani? (Kutoka yale maduka wanayouza used laptops)

Naomba mnisaidie katika hili wakuu.
Natanguliza shukurani..!!
 
kichwa cha habari nkajua unaongelea hizi PC zetu za mitaa ya mbezi kwa kina junior na brayson....
 
Nenda Zenji unapata chini ya bei hiyo PC kaliii sanaaa ... kwa huku Bongo kwa ela iyo kupigwa ni lazima!
 
Wakuu kwema? I hope mko poa

Nina 400,000/= hapa nahitaji kununua PC, ningependa mnishauri kwa budget hii

-napata Laptop MPYA yenye uwezo gani? na wapi naweza kuipata?

-Napata laptop USED yenye Uwezo gani? (Kutoka yale maduka wanayouza used laptops)

Naomba mnisaidie katika hili wakuu.
Natanguliza shukurani..!!
Mpya unapata Celeron ambazo sishauri

Used unapata Core i5 gen ya 4 hadi 6 hivi ama Core i3 gen za mbele zaidi ya hapo.

Ukitafuta vizuri hadi laki 3 unapata, laptop ya zamani inahitaji kuongezwa ram na kuwekwa ssd ili iwe ya kisasa kwa matumizi ya kileo.
 
Shukrani sana mkuu, je utakua unafahamu muuzaji/wauzaji wa PC yenye sifa hizo either used au mpya?
 
Shukrani sana mkuu, je utakua unafahamu muuzaji/wauzaji wa PC yenye sifa hizo either used au mpya?
Used ni Discountkubwa msimbazi, Machinga Complex, na mtaa wa Agrey na Likoma.

Mfano hii Discountkubwa
Screenshot_20230608-210907_1.png

7th gen kwa 455k, jaribu kuwashusha hadi hio 400k yako.

8GB ram si mbaya kwa kuanzia, ila hio Hdd baadae itoe weka ssd utapata machine nzuri kwa hio bei.
 
Kaka vp nimeona uliandika mwaka jana uzi Wa pinduo duo, kaka mm nataka kuagizia PC ya HP china kwa pinduo duo ni uwakika au Bora ninunue ebay au amazon Yan bora nichukue lilipo soko la hp maana nataka HP envy ile touchscreen na pia ni 360rotation corei5 SSD 225gb NB: 360 rotation and touchscreen ilabudget yangu ndogo sasa km 350k uko ebay au pinduo au amazo nasikia bei kitonga kdg sasa naona niagize us maana nasikia ndyo za zalishwa uko ila sijui kutumia ebay Wala amazon Wala agent napata vp kwabongo maana sijui nianzie wap nataka nijue kupa hii PC hp kwabei nzuri nitapa kwa app gani then nitatumia agent gan kwa Wa gharama nafuu then nitatumia njia gani malipo ambayo sitapata makato makubwa inshort mm ni nakubalia ushauri maana nimekufata inbox msaada Wa kimawazo mkuu
 
Back
Top Bottom