Mpya unapata Celeron ambazo sishauriWakuu kwema? I hope mko poa
Nina 400,000/= hapa nahitaji kununua PC, ningependa mnishauri kwa budget hii
-napata Laptop MPYA yenye uwezo gani? na wapi naweza kuipata?
-Napata laptop USED yenye Uwezo gani? (Kutoka yale maduka wanayouza used laptops)
Naomba mnisaidie katika hili wakuu.
Natanguliza shukurani..!!
Shukrani sana mkuu, je utakua unafahamu muuzaji/wauzaji wa PC yenye sifa hizo either used au mpya?Mpya unapata Celeron ambazo sishauri
Used unapata Core i5 gen ya 4 hadi 6 hivi ama Core i3 gen za mbele zaidi ya hapo.
Ukitafuta vizuri hadi laki 3 unapata, laptop ya zamani inahitaji kuongezwa ram na kuwekwa ssd ili iwe ya kisasa kwa matumizi ya kileo.
Nauli kwenda na kurudi haizidi 60 elfu bro, and ni masaa machache tu kwenda na kurudi..., unaweza tumia masaa chini ya matano go and return,,,!Kufika zenji ni changamoto ndugu
Used ni Discountkubwa msimbazi, Machinga Complex, na mtaa wa Agrey na Likoma.Shukrani sana mkuu, je utakua unafahamu muuzaji/wauzaji wa PC yenye sifa hizo either used au mpya?
Kaka vp nimeona uliandika mwaka jana uzi Wa pinduo duo, kaka mm nataka kuagizia PC ya HP china kwa pinduo duo ni uwakika au Bora ninunue ebay au amazon Yan bora nichukue lilipo soko la hp maana nataka HP envy ile touchscreen na pia ni 360rotation corei5 SSD 225gb NB: 360 rotation and touchscreen ilabudget yangu ndogo sasa km 350k uko ebay au pinduo au amazo nasikia bei kitonga kdg sasa naona niagize us maana nasikia ndyo za zalishwa uko ila sijui kutumia ebay Wala amazon Wala agent napata vp kwabongo maana sijui nianzie wap nataka nijue kupa hii PC hp kwabei nzuri nitapa kwa app gani then nitatumia agent gan kwa Wa gharama nafuu then nitatumia njia gani malipo ambayo sitapata makato makubwa inshort mm ni nakubalia ushauri maana nimekufata inbox msaada Wa kimawazo mkuu