NAWEZA KUPATA STUDENT VISA YA USA au CANADA BILA YA KUWA NA TOEFL,SAT na GRE

NAWEZA KUPATA STUDENT VISA YA USA au CANADA BILA YA KUWA NA TOEFL,SAT na GRE

E52

Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
81
Reaction score
14
nataka kwenda kusoma masters, sasa waungwana nauliza naweza kupata student visa ya usa au canada bila ya SAT, TOEFL na GRE ?
 
Nadhani inategemeana na chuo chako ila kwa uhakika zaidi nakushauri uende pale Ubalozi wa Marekani siku ya J3 or J5 kuanzia saa 8 mchana huwa kuna maelezo na maelekezo vya mambo ya vyuo.kila la kheri.
 
Back
Top Bottom