E E52 Member Joined Oct 31, 2010 Posts 81 Reaction score 14 Jun 12, 2012 #1 nataka kwenda kusoma masters, sasa waungwana nauliza naweza kupata student visa ya usa au canada bila ya SAT, TOEFL na GRE ?
nataka kwenda kusoma masters, sasa waungwana nauliza naweza kupata student visa ya usa au canada bila ya SAT, TOEFL na GRE ?
Vitendo JF-Expert Member Joined Oct 23, 2009 Posts 582 Reaction score 103 Jun 12, 2012 #2 Nadhani inategemeana na chuo chako ila kwa uhakika zaidi nakushauri uende pale Ubalozi wa Marekani siku ya J3 or J5 kuanzia saa 8 mchana huwa kuna maelezo na maelekezo vya mambo ya vyuo.kila la kheri.
Nadhani inategemeana na chuo chako ila kwa uhakika zaidi nakushauri uende pale Ubalozi wa Marekani siku ya J3 or J5 kuanzia saa 8 mchana huwa kuna maelezo na maelekezo vya mambo ya vyuo.kila la kheri.
E E52 Member Joined Oct 31, 2010 Posts 81 Reaction score 14 Jun 13, 2012 Thread starter #3 inshaalah wadau