Naweza kupata Toyota Rumion Kwa Tsh milion 6?

Naweza kupata Toyota Rumion Kwa Tsh milion 6?

1726076365711.png

Ongeza Laki 5 nikuachie chuma hicho. Engine na gear box havijaguswa kabisa.

Hapo ukitupia laki tano ya ufundi unauza hata mil.18. kitu namba E.

Alikuwa anaendesha mdada wa kihindi. Gari ya kufugwa😃😃
 
Mtafute Dotto Magari!
Wakuu wote habar zenu...

Nauliza kama naweza kupata gari tajwa Kwa bei hiyo.

iwe namba D

Kama kuna atakayekwazika natanguliz samahani.

Naleta Kwa hatua yenu.
 
Back
Top Bottom