Il uweze kupata kibal cha kukopesha kwanza inabid ue na mtaj usiopungua ml 30 na benk statment yenye maelezo nn chanzo cha kipato iko sio umekopa benk na ww ukaanzishe kausha dam mtaan.. unaweza kuomba lesen ya kukopesha kama branch kwa mwenye lesen tayar na ukamlpa cost kias kama ml 2 kwa mwaka au 1 kwa mwaka kutokana na mtu na mtu mwenye lesen iyo. Na kama huta taka kuptia yote hayo tafute lesen ya huduma za kipesa kama airtel money crdb wakala unakua unafanya miamala uku nyuma ya pazia unakopesha watu
gharama hazikosi bi za kawaidaHii inapatika, je kuna gharama kupata hivyo vibali?
Mimi nimeanza kukopesha watu ninaowajua kwanza na wengi ni wafanyakazi sema uwe na roho ngumu mno [emoji23][emoji23] ukiskia mteja wako anaumwa unapata presha asijekufa hajakulipa [emoji23]Nataka nifanye biashara ya microfinance nikiwa na leo ya kusupport biashara ndogo ndogo kukuza biashara zao, ila nataka nianze kwa mtaji mdogo na watu wachache nichunguze upepo wa biashara.
Swali naweza kupata vibali vya Microfinance kwa mtaji wa M5?.
M5 nataka kuwa nakopesha kuanzia Laki 1 hadi 5. Huu ni mwanzo ila malengo ni kukopesha hadi M5
Asante
Hapo umetupiga, sema unataka kukausha damu zao๐๐Nataka nifanye biashara ya microfinance nikiwa na leo ya kusupport biashara ndogo ndogo kukuza biashara zao,
๐๐๐akifukuzwa kazi jeMimi nimeanza kukopesha watu ninaowajua kwanza na wengi ni wafanyakazi sema uwe na roho ngumu mno [emoji23][emoji23] ukiskia mteja wako anaumwa unapata presha asijekufa hajakulipa [emoji23]
karibu sana kwenye biashara isiyohitaji huruma..Nataka nifanye biashara ya microfinance nikiwa na leo ya kusupport biashara ndogo ndogo kukuza biashara zao, ila nataka nianze kwa mtaji mdogo na watu wachache nichunguze upepo wa biashara.
Swali naweza kupata vibali vya Microfinance kwa mtaji wa M5?.
M5 nataka kuwa nakopesha kuanzia Laki 1 hadi 5. Huu ni mwanzo ila malengo ni kukopesha hadi M5
Asante
Hii mida ya saa 5 haponi mtu ๐ ๐ ๐karibu sana kwenye biashara isiyohitaji huruma..
watu wanatapeli sana hapa mkuu usipokuwa makini unaisha mchana kweupe
mimi niko barabarani mwaka wa tatu huu sipo kisheria, ila napambana.
mlioko kisheria nishawaona sana mnavyolizwa
View attachment 2870628View attachment 2870629
Unaact kama loan shark.karibu sana kwenye biashara isiyohitaji huruma..
watu wanatapeli sana hapa mkuu usipokuwa makini unaisha mchana kweupe
mimi niko barabarani mwaka wa tatu huu sipo kisheria, ila napambana.
mlioko kisheria nishawaona sana mnavyolizwa
View attachment 2870628View attachment 2870629
Asee, ayo mambo ya ulaya, apa wanabeba vitanda na makochi mchana kweupeUnaact kama loan shark.
Nimekua kwenye Fintech long enough kujua kua kwa taasisi kama wewe naweza kukukopa na ukashindwa niwajibisha kisheria.
Kisha nikazishtaki namna zako za kunidai na ukatakiwa kunilipa
Naelewa kwamba wanafanya hivyo.Asee, ayo mambo ya ulaya, apa wanabeba vitanda na makochi mchana kweupe
ujuaji mwingi sana mkiwa JF,Unaact kama loan shark.
Nimekua kwenye Fintech long enough kujua kua kwa taasisi kama wewe naweza kukukopa na ukashindwa niwajibisha kisheria.
Kisha nikazishtaki namna zako za kunidai na ukatakiwa kunilipa