Naweza kupata wapi Epoxy Resin kwa ajili ya kutengeneza kazi za sanaa?

Naweza kupata wapi Epoxy Resin kwa ajili ya kutengeneza kazi za sanaa?

Teleskopu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2017
Posts
702
Reaction score
767
Habari wakuu

Naomba kujua ni wapi naweza kupata EPOXY RESIN kwa ajili ya kutengeneza kazi za sanaa kama vile mapambo.

Mfano hii hapa chini.

1648216022489.png

Natanguliza shukurani.
 
Ndio, maduka ya spea za magari wanauza. Kwani epoxy si ni gundi yenye kuunga plastic, chuma nk. Hizo zote zinatumika kwenye gari.
Epoxy resin sijui kama ndio hiyo hiyo inayotumika kwenye magari. Unaona hizi meza zimetengenezwa kwa epoxy resin.
Screenshot_20220325_174840.jpg
Screenshot_20220325_174848.jpg
 
Ndio, maduka ya spea za magari wanauza. Kwani epoxy si ni gundi yenye kuunga plastic, chuma nk. Hizo zote zinatumika kwenye gari.
Asante mkuu. Nitajaribu kuulizia.
 
Ndio, maduka ya spea za magari wanauza. Kwani epoxy si ni gundi yenye kuunga plastic, chuma nk. Hizo zote zinatumika kwenye gari.

Huyu haulizii ile epoxy ya kwenye tube...

Ipo ambayo huuzwa kwa wingi kwenye 'vidumu' vyenye ujazo mkubwa...
 
Back
Top Bottom