Naweza kupata wapi kadi ya fire wire (hard ware) kwa ajili ya laptop

Naweza kupata wapi kadi ya fire wire (hard ware) kwa ajili ya laptop

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Nahitaji hard ware hii kwa ajili ya kunisaidia katika kuingiza picha za video kutoka digital camera(video) na kuingiza kwenye laptop yangu kwani computer niliyo nayo haina internal fire ware hivyo najitaji kuweka kadi ya fire ware

Nimejaribu kutafuta kwenye maduka nimekosa kwani zinapatikana za computer kubwa tu

naomba mwenye kujua anisaidie
 
Kwanza kwa ushauri ukiwa unatoa maelezo ya maombi ya sauala la kiteknolojia ni vuzuri kuwa SPECIFIC kwa kutoa SPECIFIACTION. Mfano unavyosema Digital Camera ni ya Model na brand gani. Au INPUT/OUTPUT I/O PORT ya hiyo Camera ni ya specifaction gani?( USB, 3 pin, etc)

Kitu kingine kompyuta na laptop zote dunian zina STANDARD ports sasa ukisema zinapatikana za kompyuta kubwa naona unachanganya mambo???.
 
mkuu, Kabla hujanunu hardware jaribu kwanza kuangalia software issues, inawezekana usihitaji hiyo hardware kwa kazi ya kuhamisha video kutoka camera to pc.
 
Iko kifaa ni networ k card haina uhusiano na Digital Camera, wewe mkaka chukua laptop yako na digital camera yako nenda kwa maduka waonyeshe na waeleze tatizo lako utasaidiwa. Nenda KVD
 
Back
Top Bottom