Naweza kupata wapi orodha ya mechi za ligi kuu zinazochezeshwa na Arajiga ?

Naweza kupata wapi orodha ya mechi za ligi kuu zinazochezeshwa na Arajiga ?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Nimetokea kuvutiwa na baadhi ya waamuzi kwa jinsi wanavyochezesha mpira kwa namna inayoleta burudani

Mfano napenda sana kuangalia mechi za Arajiga, ni mechi ambazo timu ikilemaa inakula dozi ya kutosha, mfano ni leo kenglold wamebebeshwa kilo 4 na Azam.

Ni wapi naweza kupata orodha ua mechi kwa kigezo cha marefa
 
Baadhi ya mashabiki wa timu fulani wanamuogopa kweli huyo jamaa. Wenyewe kama ingekuwa ni amri yao, basi wangetamani kuona mechi zao zote kwenye ligi zinachezeshwa na mwamuzi Tatu Malogo.
 
Baadhi ya mashabiki wa timu fulani wanamuogopa kweli huyo jamaa. Wenyewe kama ingekuwa ni amri yao, basi wangetamani kuona mechi zao zote kwenye ligi zinachezeshwa na mwamuzi Tatu Malogo.
Alifungiwa mwaka mzima kwa kupokea bahasha za GSM.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
JamiiForums-31645776.jpeg
 
Back
Top Bottom